Fabio Borini akishangilia baada ya kuifungia Sunderland bao la pili kwa njia ya penalti kipindi cha pili dakika ya 64.
Nemanja Vidic wa Manchester United akifunga bao la kusawazisha kwa timu yake na kufanya matokeo kuwa 1-1 katika dakika ya 52.
Sunderland wakishangilia bao lao la kwanza alilojifunga Ryan Giggs dakika ya 45.
Fabio Borini wa Sunderland (kulia) na Patrice Evra wakikwaana wakati wa mechi hiyo.
Timu ya
Manchester United imepokea kipigo kingine cha bao 2-1 kutoka kwa
Sunderland katika mechi ya Nusu Fainali Kombe la Capital One na kuwa
mchezo wa tatu kufungwa timu hiyo mfululizo baada ya awali kufungwa na
Tottenham na Swansea katika Ligi Kuu ya England na Kombe la FA. Mechi ya
marudiano itapigwa Old
0 comments:
Post a Comment