Tuesday, 7 January 2014

HIVI NDIVYO ZITTO KABWE ALIVYO SHINDA KESI LEO;; AWABWAGA KAMATI KUU YA CHADEMA

mahakamani9 
Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.

Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe.

0 comments: