Cameroon imefungiwa kwa muda na FIFA kufuatia serikali ya nchi hiyo kujiingiza katika maswala ya chama cha soka nchini humo.
Tangazo la FIFA limesema kwamba kamati ya
dharura ya shirikisho hilo la dimba duniani imeamua kusimamisha kwa muda
chama cha soka cha Cameroon FECAFOOT na uamuzi huo umeanza kutekelezwa
mara moja kwa sababu serikali inaingilia maswala ya chama cha soka.
0 comments:
Post a Comment