Sylvia ni mwanafunzi wa Tanzania. Safari yake kupata elimu inakumbwa na changamoto chungu nzima.
Sylvia ni msichana wa miaka
minane anaishi kijiji kimoja Tanzania, licha ya maisha yake amejitolea
kupata elimu na kila siku hutembea kwa saa moja unusu kwenda shuleni.
Yeye ni miongoni mwa wasichana waliobahatika kupata elimu Barani Afrika
Sylvia ni msichana wa miaka
minane anaishi kijiji kimoja Tanzania,
licha ya maisha yake amejitolea
kupata elimu na kila siku
hutembea kwa saa moja unusu kwenda shuleni.
Yeye ni miongoni mwa wasichana waliobahatika kupata elimu Barani Afrika
Shule ya Sylvia iko kilomita saba
na msichana huku hutembea kila siku akipitia kichakani,wakati mwingine
anaumia miguu, pia lazima aepuke kukanyanga wanyama hatari kama
nyoka.
Shule ya Sylvia iko kilomita saba
na msichana
huku hutembea kila siku
akipitia kichakani,wakati mwingine
anaumia miguu, pia lazima aepuke kukanyanga
wanyama hatari kama
nyoka.
Safari ya msichana huyu kisha
inampeleka barabara kuu.
Wakati mwingine kuna jua kali, vumbi nyingi.
Msimu wa jua barabara hujaa mapote na inampa
changamoto
msichana huyu
katika safari yake shuleni
Baba wa kambo wa Sylvia amekua
akiona malezi yake kama mzigo hasa elimu, lakini kwake Sylvia anasema
elimu ni njia pekee ya kubadilisha maisha ya familia
0 comments:
Post a Comment