Thursday, 18 July 2013

BARAFU YA MLIMA KILIMANJARO YA ZIDI KUPUNGUA SIKU HADI SIKU

Picture: Kilimanjaro July 2013Kihistoria, mwezi huu wa Julai ni moja ya miezi ambayo watalii wengi walikuwa wanafika Tanzania ili kuupanda mlima Kilimanjaro. Nayakumbuka majira haya nikiwa Mkuuni, Marangu nilikuwa nawaona watalii wengi sana kwenye miezi ya Mei hadi Septemba wengine wakiwa kwenye magari yao, vitrela vinakokotwa nyuma ya gari, wengine kwenye baiskeli zao na mabegi yao mgongoni, wakienda ama kurudi kutoka mlimani.
Picha hizi nimezipata kutoka kwenye blogu ya KK ya TembeaTz.blogspot.com (bofya hapa kuona picha zaidi).

 

0 comments: