Saturday, 11 January 2014

ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA ISRAEL MR ARIEL SHARONI AFARIKI DUNIA

 
Aliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki akiwa na umri wa miaka 85.
Alikuwa katika hali ya umahututi kwa miaka nane tangu mwaka 2006. Chanzo:BBC  Taarifa kamili inafuata ivi punde endelea kutembelea mbeyagreennewsblog

Related Posts:

0 comments: