>>LEP ZIPO MECHI 12 ZA RAUNDI YA 4!
Bao za Podolski zilifungwa Dakika ya 15 na 27 na Giroud kupachika Dakika ya 84 huku Cazorla akimalizia Dakika ya 89.
Katika Mechi nyingine ya Raundi ya 4 ya FA CUP iliyochezwa Jana, Nottingham Forest na Preston zilitoa Sare 0-0.
Leo zipo Mechi nyingine 12 za Raundi ya 4 ya FA CUP na Jumapili zipo 2.
Kwa sababu ya Mechi hizi za FA CUP, Ligi Kuu England haitachezwa hadi Jumanne Januari 28 na Jumatano Januari 29.
FA CUP
Raundi ya 4
Ijumaa Januari 24
Arsenal 4 Coventry 0
Nottingham Forest 0 Preston 0
[Saa za Bongo]
Jumamosi Januari 25
15:45 Bournemouth v Liverpool
[Zote Saa 18:00]
Birmingham v Swansea
Manchester City v Watford
Wigan v Crystal Palace
Rochdale v Sheffield Wednesday
Southend v Hull City
Port Vale v Brighton
Huddersfield v Charlton or Oxford
Southampton v Yeovil
Bolton v Cardiff
Sunderland v Kiddrminister
[Saa 20:30]
Stevenage v Everton
Jumapili Januari 26
16:00 Sheffield United v Fulham
18:30 Chelsea v Stoke
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17
0 comments:
Post a Comment