Ikiwa
ni muendelezo wa kukufichulia matukio ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya
wanawake, kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na Televisheni ya EATV
kila Jumanne saa tatu kamili usiku, wiki hii kimekufichulia kisa cha
mwanamke aliyekatwa mkono na mume wake huko Geita.
Itazame video hii hapo chini:
0 comments:
Post a Comment