Tuesday, 4 March 2014

RAISI DKT KIKWETE AKAGUA MADARAJA YA KIJESHI

 
D92A2847 D92A2857 D92A2868 D92A2877 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua madaraja ya kijeshi yakiwemo yale ya kuelea juu ya maji wakati alipokagua zana za kijeshi jana, Jumatatu, Machi 2, mwaka huu, 2014.
(Picha na Freddy Maro wa Ikulu).

Related Posts:

0 comments: