Wednesday, 5 March 2014

MECHI YA JIRAFIKI: UJERUMANI YA WACHAPA CHILE BAO 1-0 OZIL NA GOTZE WAFANYA YAO

 article-2574068-1C10556200000578-473_634x396Ushirikiano wa kiungo wa Bayern Munich Mario Gotze na kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ulizaa matunda jana usiku katika mchezo wa kirafiki baina ya Ujerumani dhidi ya Chile.
Wachezaji wawili walishirikiana vizuri katika goli la ushindi lilofungwa na Gotze kutoka na pasi nzuri ya mwisho ya Ozil. Mchezo ulimalizika kwa matokeo ya 1-0

MECHI za KIMATAIFA KIRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
[Muda ukitajwa ni Bongo Taimu]
Jumatano Machi 5
Malawi 1 Zimbabwe 4
Mozambique 1 Angola 1
Mauritania 1 Niger 1
Zambia 2 Uganda 1
Congo 0 Libya 0
Japan 4 New Zealand 2
India 2 Bangladesh 2
Burundi 1 Rwanda 1
Russia 2 Armenia 0
Georgia 2 Liechtenstein 0
Iran 1 Guinea 2
Lithuania 1 Kazakstan 1
Azerbaijan 1 Philippines 0
Bulgaria 2 Belarus 1
Burkina Faso 1 Comoro 1
Hungary 1 Finland 2
Greece 0 South Korea 2
Albania 2 Malta 0
Algeria 2 Slovenia 0
South Africa 0 Brazil 5
Montenegro 1 Ghana 0
Israel 1 Slovakia 3
Bosnia 0 Egypt 2
Czech Republic 2 Norway 2
Namibia 1 Tanzania 1
Senegal 1 Mali 1
Cyprus 0 Northern Ireland 0
Macedonia 2 Latvia 1
Andorra 0 Moldova 3
Colombia 1 Tunisia 1
Luxembourg 0 Cape Verde 0
Turkey 2 Sweden 1
Morocco 1 Gabon 1
Romania 0 Argentina 0
Ukraine 2 United States 0
Gibraltar 0 Estonia 2
Austria 1 Uruguay 1
Switzerland 2 Croatia 2
Germany 1 Chile 0
Belgium 2 Ivory Coast 1
France 2 Netherlands 0
England 1 Denmark 0
Poland 0 Scotland 1
22:45 Wales Vs Iceland
22:45 Ireland Vs Serbia
23:59 Spain Vs Italy
23:00 Australia Vs Ecuador
23:45 Portugal Vs Cameroon
23:59 Saint Lucia Vs Jamaica
Alhamisi Machi 6
1:30   Mexico Vs Nigeria
2:00   Costa Rica Vs Paraguay

0 comments: