Matokeo Ivory Coast vs Belgium – walichofanya Drogba na Fellaini
Mabao
ya wachezaji Didier Drogba na Gradel yaliiokoa Ivory Coast kukumbana na
kipigo dhidi ya Belgium katika mchezo wa kirafiki uliocheza jana usiku.
Belgium inayoundwa na mastaa kama Eden Hazard, Fellaini, Dembele,
Lukaku walifunga mabao yao kupitia kwa kiungo wa Manchester United
Maroune Fellaini na Nainggolan, mchezo uliisha kwa sare ya 2-2.
Spain walivyoendelea kuionea Italia
Bao la Spain lilifungwa na Pedro
Ronaldo na wenzie walivyoiadhibu Cameroon
matokeo ya mchezo wa Ufaransa vs Uholanzi
Mchezo wa kirafiki kati ya Uholanzi dhidi ya Ufaransa uliopigwa jana ulimalizika kwa Ufaransa kuitandika Uholanzi mabao 2-0 .
Mabao ya Ufaransa yalifungwa mshambuliaji Karim Benzema na kiungo Matuidi anayekipiga PSG.
Matokeo ya England vs Denmark,
Timu ya Taifa ya England jana usiku imefanikiwa kuichapa Denmark 1 – 0 katika mchezo wa kirafiki.
Goli la mchezo huo lilifungwa na mshambuliaji hatari wa klabu ya Liverpool Daniel Sturiddge kwa kichwa
MECHI za KIMATAIFA KIRAFIKI
RATIBA/MATOKEO:
[Muda ukitajwa ni Bongo Taimu]
Jumatano Machi 5
Malawi 1 Zimbabwe 4
Mozambique 1 Angola 1
Mauritania 1 Niger 1
Zambia 2 Uganda 1
Congo 0 Libya 0
Japan 4 New Zealand 2
India 2 Bangladesh 2
Burundi 1 Rwanda 1
Russia 2 Armenia 0
Georgia 2 Liechtenstein 0
Iran 1 Guinea 2
Lithuania 1 Kazakstan 1
Azerbaijan 1 Philippines 0
Bulgaria 2 Belarus 1
Burkina Faso 1 Comoro 1
Hungary 1 Finland 2
Greece 0 South Korea 2
Albania 2 Malta 0
Algeria 2 Slovenia 0
South Africa 0 Brazil 5
Montenegro 1 Ghana 0
Israel 1 Slovakia 3
Bosnia 0 Egypt 2
Czech Republic 2 Norway 2
Namibia 1 Tanzania 1
Senegal 1 Mali 1
Cyprus 0 Northern Ireland 0
Macedonia 2 Latvia 1
Andorra 0 Moldova 3
Colombia 1 Tunisia 1
Luxembourg 0 Cape Verde 0
Turkey 2 Sweden 1
Morocco 1 Gabon 1
Romania 0 Argentina 0
Ukraine 2 United States 0
Gibraltar 0 Estonia 2
Austria 1 Uruguay 1
Switzerland 2 Croatia 2
Germany 1 Chile 0
Belgium 2 Ivory Coast 1
France 2 Netherlands 0
England 1 Denmark 0
Poland 0 Scotland 1
22:45 Wales Vs Iceland
22:45 Ireland Vs Serbia
23:59 Spain Vs Italy
23:00 Australia Vs Ecuador
23:45 Portugal Vs Cameroon
23:59 Saint Lucia Vs Jamaica
Alhamisi Machi 6
1:30 Mexico Vs Nigeria
2:00 Costa Rica Vs Paraguay
.
0 comments:
Post a Comment