Gwiji
wa soka wa Argentina Diego Maradona amesema kwamba alifurahishwa sana
alipoona Cristiano Ronaldo akishinda tuzo ya uchezaji bora wa dunia,
akiamini ushindi wa Ronaldo utampa Lionel Messi hali ya kujituma zaidi
na kuisadia timu yake ya taifa kwenye michuano ya kombe la dunia
itakayofanyika nchini Brazil. said he was “delighted” Cristiano Ronaldo
won the Ballon d’Or as he believes it will inspire Lionel Messi to
success at this summer’s World Cup.
Messi, 26, alishinda tuzo ya ballon d’or mara nne mfululizo kabla ya kuja kushindwa na Ronaldo mwaka huu.
“Nilifurahishwa na ushindi wa Ronaldo katika Ballon d’Or kwa sababu
naamini kutampa Messi hali ya kujituma zaidi. Yoyote kati yao
atakayejituma zaidi atashinda, nadhani Messi tangu arudi kutoka kwenye
majeruhi amerudi vizuri na anaonyesha ana njaa ya kushinda tena.
0 comments:
Post a Comment