BOEING 777-200ER mali ya shirika la ndege la malaysia.
Ndugu wa
abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo wakisubiri taarifa kuhusiana na ndege
hiyo Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria 227 na wafanyakazi
12 inahofiwa kuanguka huko katika bahari kusini mwa China, kwa mujibu wa
shirika la habari la serikali la Vietnam.
Ndege hiyo aina ya Boeing 777-200ER iliyokuwa inatoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing, ilikuwa imepotea kwa masaa kadhaa. Kama ripoti hiyo ikithibitisha, itakuwa ni ajali mbaya ya ndege ya aina hiyo (Boeing 777) tangu iingie sokoni miaka 19 iliyopita.

0 comments:
Post a Comment