Monday, 6 January 2014

WAZIRI MKUU PINDA ATUA IRINGA NA ATEMBELEA ENEO AMBALO DR MGIMWA ATAZIKWA LEO

Mafundi   wakiendelea na ujenzi wa choo cha muda  nyumbani kwa  Dr Mgimwa  leo
Waziri  mkuu  Mizengo  Pinda  katikati  mwenye  miwani akiwa na  viongozi mbali  mbali  wa chama na serikali ya mkoa  wa Iringa wakitazama  maandalizi ya  mwisho ya  ujenzi  wa kaburi  la Dr  Wiliam Mgimwa  nyumbani  kwake Magunga  jimbo la kalenga  leo
Mama  mzazi  wa  Dr Mgimwa  Consolata Semgovano  mwenye gauni  la  kijani akiwa na  waombolezaji  wengine  kijijini kwa Mgimw

WAZIRI MKUU PINDA ATUA IRINGA ,KUELEKEA KIJIJINI KWA WAZIRI DR MGIMWA SASA

Waziri  mkuu  Mizengo Pinda akisalimkiana na mwenyekiti  wa CCM mkoa  wa  Iringa Jesca Msambatavangu leo katika uwanja wa ndege Nduli Iringa
Pinda akisalimiana na viongozi  leo sasa msafara wake unaelekea kijijini Kwa Mgimwa Magunga

Related Posts:

0 comments: