HOME »
 » UZI MPYA WA PUMA ARSENAL HUU HAPA, KITU BLUU 
 
JEZI mpya za msimu ujao wa 2014/2015 za Arsenal zimevuja na aina zote tatu zilizotengenezwa na Puma zimeonekana. Zitazame 
Rangi ya Bluu: Jezi ya mechi za genii za Arsenal
 
Nyekundu ndiyo yenyewe? Hii itakuwa jezi ya mechi za nyumbani msimu ujao Arsenal
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment