>>GHANA NAO NJE, GERMANY, USA ZASONGA!!
PORTUGAL 2 GHANA 1
Cristiano
Ronaldo ameifungia Portugal Bao la ushindi walipoipiga Ghana 2-1 lakini
hiyo haikutosha kwani wote wawili walitupwa nje ya Kombe la Dunia na
Germany na USA kutinga Raundi ya Pili toka Kundi G.
Portugal walitangulia kupata Bao la kujifunga mwenyewe Beki John Boye lakini Asamoah Gyan aliisawazishia Ghana kwa Kichwa.
Dakika ya 80, Ronaldo alitumia makosa ya
Difensi na kuipa Portugal Bao la Pili lakini walishindwa kupata Bao 3
zaidi ambazo zingewafikisha Raundi ya Pili kwani kwenye Mechi nyingine
ya Kundi lao Germany iliifunga USA 1-0 ambao wamefungana kwa Pointi na
Portugal lakini wana ubora wa tofauti ya Magoli.
Matokeo hayo yaliifanya Portugal iungane na Ghana nje ya Mashindano na Germany na USA kusonga.
VIKOSI:
Portugal: Beto, Joao Pereira, Pepe, Bruno Alves, Veloso, Joao Moutinho, William Carvalho, Ruben Amorim, Nani, Ronaldo, Eder
Akiba: Eduardo, Vieirinha, Ricardo Costa, Luis Neto, Rafa, Meireles, Varela.
Ghana: Dauda, Afful, Boye, Mensah, Asamoah, Atsu, Rabiu, Agyemang-Badu, Andre Ayew, Waris, Gyan
Akiba: Adams, Inkoom, Opare, Essien, Afriyie, Jordan Ayew, Adomah, Sumaila, Wakaso, Kwarasey.
REFA: Nawaf Shukralla (Bahrain).
KUNDI G | ||||||||
TIMU | P | W | D | L | F | A | GD | PTS |
Germany | 3 | 2 | 2 | 0 | 7 | 2 | 5 | 7 |
United States | 3 | 1 | 2 | 0 | 4 | 4 | 0 | 4 |
Portugal | 3 | 1 | 1 | 1 | 4 | 7 | -3 | 4 |
Ghana | 3 | 0 | 1 | 2 | 4 | 6 | -2 | 1 |
USA 0 GERMANY 1
Bao la Dakika ya 55 la Thomas Muller limeipa ushindi Germany kwenye Mechi yao ya mwisho ya Kundi Gwalipocheza na USA na kutwaa Nambari Wani kwenye Kundi hilo na kutinga Raundi ya Pili ya Mtoano.
Ingawa wamefungwa, USA nao wamesonga
Raundi ya Pili kwa ubora wa Magoli kufuatia kufungana kwa Pointi na
Portugal ambayo Leo iliifunga Ghana 2-1.
VIKOSI:
USA: Howard; Johnson, Gonzalez, Besler, Beasley; Beckerman, Jones; Zusi, Bradley, Davis; Dempsey
GERMANY: Neuer; Boateng, Mertesacker, Hummels, Höwedes; Lahm (C), Schweinsteiger; Özil, Kroos, Podolski; Müller
REFA: Ravshan Irmatov [Uzbekistan]
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI
**Saa za Bongo
JUMATATU, JUNI 23, 2014 | |||
SAA | MECHI | KUNDI | UWANJA |
1900 | Australia 0 Spain 3 | B | Arena da Baixada |
1900 | Netherlands 2 Chile 0 | B | Arena Corinthians |
2300 | Croatia 1 Mexico 3 | A | Arena Pernambuco |
2300 | Cameroon 1 Brazil 4 | A | Nacional |
JUMANNE, JUNI 24, 2014 | |||
SAA | MECHI | KUNDI | UWANJA |
1900 | Italy 0 Uruguay 1 | D | Estadio das Dunas |
1900 | Costa Rica 0 England 0 | D | Estadio Mineirão |
2300 | Japan 1 Colombia 4 | C | Arena Pantanal |
2300 | Greece 2 Ivory Coast 1 | C | Estadio Castelão |
JUMATANO, JUNI 25, 2014 | |||
SAA | MECHI | KUNDI | UWANJA |
1900 | Nigeria 2 Argentina 3 | F | Estadio Beira-Rio |
1900 | Bosnia-Herzegovina 3 Iran 1 | F | Arena Fonte Nova |
2300 | Honduras 0 Switzerland 3 | E | Arena Amazonia |
2300 | Ecuador 0 France 0 | E | Estadio do Maracanã |
ALHAMISI, JUNI 26, 2014 | |||
SAA | MECHI | KUNDI | UWANJA |
1900 | United States 0 Germany 1 | G | Arena Pernambuco |
1900 | Portugal 2 Ghana 1 | G | Nacional |
2300 | South Korea v Belgium | H | Arena Corinthians |
2300 | Algeria v Russia | H | Arena da Baixada |
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014 | |||||
SAA | MECHI NA | MECHI | UWANJA | MJI | |
1900 | 49 | Brazil v Chile | Mineirão | Belo Horizonte | |
2300 | 50 | Colombia v Uruguay | Maracanã | Rio de Janeiro | |
JUMAPILI, JUNI 29, 2014 | |||||
SAA | MECHI NA | MECHI | UWANJA | MJI | |
1900 | 51 | Netherlands v Mexico | Castelao | Fortaleza | |
2300 | 52 | Costa Rica v Greece | Pernambuco | Recife | |
JUMATATU, JUNI 30, 2014 | |||||
SAA | MECHI NA | MECHI | UWANJA | MJI | |
1900 | 53 | France v Nigeria | Nacional | Brasilia | |
2300 | 54 | Germany v 2H | Beira-Rio | Porto Alegre | |
JUMANNE, JULAI 1, 2014 | |||||
SAA | MECHI NA | MECHI | UWANJA | MJI | |
1900 | 55 | Argentina v Switzerland | Corinthians | Sao Paulo | |
2300 | 56 | 1H v USA | Fonte Nova | Salvador |
0 comments:
Post a Comment