BELGIUM VINARA KUNDI H, RUSSIA, KOREA NJE!!
SAFU RAUNDI YA PILI YA MTOANO YAKAMILIKA!
ALGERIA 1 RUSSIA 1
Baada
ya kusubiri Miaka 32 na Siku 1 walipofanyiwa njama na Germany na
Austria, Algeria hatimae wameweza kutinga Raundi ya Pili ya Fainali za
Kombe la Dunia kufuatia Sare yao ya Leo ya 1-1 na Russia iliyowafanya
wao na Vinara Belgium kusonga mbele toka Kundi H.
Russia walitangulia kufunga Bao lao
kwenye Dakika ya 6 kupitia Aleksandr Kokorin na Algeria kusawazisha kwa
Bao la Islam Slimani katika Dakika ya 60.
Kufuzu kwao Leo hii Algeria kumekumbusha
skandali iliyotokea kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 1982 huko
Spain ambako kwenye Mechi ya mwisho ya Kundi Germany na Austria
walikula njama ili kuitoa nje Algeria baada kutengeneza ushindi wa Bao
1-0 kwa Germany.
Mwaka huo, kwenye Fainali hizo
zilizoitwa España 82, Algeria walianza Mechi za Makundi kwa kuibamiza
Germany 2-1 kwa Bao za Malejendari Rabah Madjer na Lakhdar Belloumi.
Kwenye Raundi ya Pili ya Mtoano huko Brazil hapo Jumatatu Juni 30, Algeria watacheza na Germany.
VIKOSI:
ALGERIA: M'Bolhi, Mandi, Belkalem, Halliche, Mesbah, Medjani, Bentaleb, Feghouli, Brahimi, Djabou, Slimani.
Akiba: Si Mohamed, Bougherra, Ghoulam, Yebda, Lacen, Ghilas, Soudani, Zemmamouche, Cadamuro, Taider, Mahrez, Mostefa.
RUSSIA: Akinfeev, Kozlov, Berezutski, Ignashevich, Kombarov, Glushakov, Fayzulin, Samedov, Kokorin, Shatov, Kerzhakov.
Akiba: Lodygin, Shchennikov, Semenov, Kanunnikov, Denisov, Dzagoev, Granat, Mogilevets, Ryzhikov, Zhirkov, Ionov, Eshchenko.
Refa: Cuneyt Cakir (Turkey)
KUNDI H |
||||||||
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
Belgium |
3 |
3 |
0 |
0 |
4 |
1 |
3 |
9 |
Algeria |
3 |
1 |
1 |
1 |
6 |
5 |
1 |
4 |
Russia |
3 |
0 |
2 |
1 |
2 |
3 |
-1 |
2 |
South Korea |
3 |
0 |
1 |
2 |
3 |
6 |
-4 |
1 |
BELGIUM 1 SOUTH KOREA 0
Belgium, ambao walikuwa tayari wametinga
Raundi ijayo kabla ya Mechi ya Leo, wameifunga South Korea Bao 1-0
licha ya kucheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 44.
Steven Defour, anaechezea FC Porto,
alitolewa kwenye Dakika ya 44 kwa Rafu mbaya lakini Jan Vertonghen
aliwafungia Belgium Bao moja na pekee katika Dakika ya 78.
Kwenye Raundi ya Pili ya Mtoano Belgium watacheza na USA hapo Julai 1.
VIKOSI:
SOUTH KOREA: 21-Kim
Seung-gyu; 12-Lee Yong, 3-Yoon Suk-young, 5-Kim Young-gwon, 20-Hong
Jeong-ho; 16-Ki Sung-yeung, 14-Han Kook-young, 17-Lee Chung-yong, 9-Son
Heung-min, 13-Koo Ja-cheol; 18-Kim Shin-wook
BELGIUM: 1-Thibaut
Courtois; 5-Jan Vertonghen, 15-Daniel Van Buyten, 18-Nicolas Lombaerts,
21-Anthony Vanden Borre; 8-Marouane Fellaini, 14-Dries Mertens, 11-Kevin
Mirallas, 19-Mousa Dembele, 16-Steven Defour; 20-Adnan Januzaj
Refa: Benjamin Williams (Australia)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI
**Saa za Bongo
JUMATATU, JUNI 23, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
Australia 0 Spain 3 |
B |
Arena da Baixada |
1900 |
Netherlands 2 Chile 0 |
B |
Arena Corinthians |
2300 |
Croatia 1 Mexico 3 |
A |
Arena Pernambuco |
2300 |
Cameroon 1 Brazil 4 |
A |
Nacional |
JUMANNE, JUNI 24, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
Italy 0 Uruguay 1 |
D |
Estadio das Dunas |
1900 |
Costa Rica 0 England 0 |
D |
Estadio Mineirão |
2300 |
Japan 1 Colombia 4 |
C |
Arena Pantanal |
2300 |
Greece 2 Ivory Coast 1 |
C |
Estadio Castelão |
JUMATANO, JUNI 25, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
Nigeria 2 Argentina 3 |
F |
Estadio Beira-Rio |
1900 |
Bosnia-Herzegovina 3 Iran 1 |
F |
Arena Fonte Nova |
2300 |
Honduras 0 Switzerland 3 |
E |
Arena Amazonia |
2300 |
Ecuador 0 France 0 |
E |
Estadio do Maracanã |
ALHAMISI, JUNI 26, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
United States 0 Germany 1 |
G |
Arena Pernambuco |
1900 |
Portugal 2 Ghana 1 |
G |
Nacional |
2300 |
South Korea 0 Belgium 1 |
H |
Arena Corinthians |
2300 |
Algeria 1 Russia 1 |
H |
Arena da Baixada |
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
49 |
Brazil v Chile |
Mineirão |
Belo Horizonte |
|
2300 |
50 |
Colombia v Uruguay |
Maracanã |
Rio de Janeiro |
|
JUMAPILI, JUNI 29, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
51 |
Netherlands v Mexico |
Castelao |
Fortaleza |
|
2300 |
52 |
Costa Rica v Greece |
Pernambuco |
Recife |
|
JUMATATU, JUNI 30, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
53 |
France v Nigeria |
Nacional |
Brasilia |
|
2300 |
54 |
Germany v Algeria |
Beira-Rio |
Porto Alegre |
|
JUMANNE, JULAI 1, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
55 |
Argentina v Switzerland |
Corinthians |
Sao Paulo |
|
2300 |
56 |
Belgium v USA |
Fonte Nova |
Salvador |
0 comments:
Post a Comment