Friday, 27 June 2014

ANGALIA LUIZ SUAREZ, ALIVYO POKELEWA NCHNI URUGUAY AKITOKEA LEO BRAZIL BAADA YA KUFUNGIWA MIEZI MINNE

 


Out in force: Luis Suarez supporters await the striker's arrival back in Uruguay
Mashabiki wa Luis Suarez wakiwa uwanja wa ndege kumpokea mshambuliaji wao.  
 

 MASHABIKI wa Luis Suarez wamefurika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco karibu na Montevideo kumsalimia mshambuliaji huyo aliyerejea Uruguay baada ya kufungiwa na FIFA.
Baada ya kufungiwa mechi tisa za kimataifa na miezi minne ya kutojihusisha na soka, Suarez amerejea Uruguay na kukiacha kikosi cha nchi yake kinachoshiriki kombe la dunia nchini Brazil. 
Mashabiki walilazimika kwenda uwanjani kumsalimia mshambuliaji huyo wa Liverpool.
Rais wa Urugauy, Jose Mujica alikuwepo uwanja wa ndege tayari kumpokea nyota huyo, lakini aliondoka baada ya ndege ya Suarez kuchelewa kutua uwanjani.
Partisan: Supporters wanted to see the star striker arrive back in Uruguay following his ban
Hero: Fans flocked to Carrasco International Airport to await the arrival of Suarez
Shujaa: Mashabiki walifurika na kuziba njia ya uwanja wa ndege wa Carrasco wakisubiri kuwasili kwa Suarez.
Backlash: A supporter holds up a message aimed at FIFA after the ban given to Suarez
Vijembe: Shabiki akionesha ujumbe uliokusudia kuwasema FIFA baada ya kumfungia Suarez.
Carnival: Spectators gather at the airport ready to greet the Liverpool striker
Mashabiki walijikusanya uwanja wa ndege kumsalimia Suarez

Uruguay watachuana na Colombia katika mchezo wa hatua ya 16, lakini watahitaja ushindi bila ya Suarez pamoja na mechi nyingine zote watakazobahatika kucheza.
Meanwhile: The Uruguay striker at the team's hotel in Brazil on Thursday afternoon
Mshambuliaji wa Uruguay, Suarez akiwa katika hoteli ya timu yake ya Taifa nchini Brazil jana alhamisi.

0 comments: