PATA MAHESABU MAKALI KUHUSU KUFUZU KWAO!
GHANA v PORTUGAL, ALGERIA v RUSSIA
Leo
Makundi G na H yanahitimisha Hatua ya Makundi ya Fainali za Kombe la
Dunia huko Brazil kwa kucheza Mechi zao za mwisho na ni Belgium pekee
ambayo ndio imeshatinga Raundi ya Pili ya Mtoano toka Makundi hayo.
Baada kutupwa nje kwa Ivory Coast na
Cameroon na kufuzu kwa Nigeria hapo Jana, Leo Afrika inazo Nchi zake
mbili za mwisho, Ghana na Algeria, ambazo bado zina nafasi ya kuingia
Raundi ya Pili.
Kwenye Kundi G, USA itacheza na Germany
huko Estadio Pernambuco, Recife na Ghana kucheza na Portugal huko
Estadio Nacional, Brasilia.
Kundi H ni South Korea v Belgium huko Arena Corinthians, Sao Paulo na Algeria v Russia ndani ya Arena da Baixada, Curitiba.
+++
MSIMAMO:
KUNDI G |
||||||||
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
Germany |
2 |
1 |
2 |
0 |
6 |
2 |
4 |
4 |
USA |
2 |
1 |
1 |
0 |
4 |
3 |
1 |
4 |
Ghana |
2 |
0 |
1 |
1 |
3 |
4 |
-1 |
1 |
Portugal |
2 |
0 |
1 |
1 |
2 |
6 |
-4 |
1 |
KUNDI H |
||||||||
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
Belgium |
2 |
2 |
0 |
0 |
3 |
1 |
2 |
6 |
Algeria |
2 |
1 |
0 |
1 |
5 |
4 |
1 |
3 |
Russia |
2 |
0 |
1 |
1 |
1 |
2 |
-1 |
1 |
Korea |
2 |
0 |
1 |
1 |
3 |
5 |
-2 |
1 |
Mahesabu makali
KUNDI G
Germany na USA zote zitafuzu ikiwa zitatoka Sare.
Ili Ghana kuingia Raundi ya Pili ni
lazima kuifunga Portugal na Germany iifunge USA lakini ikiwa Ghana
itaifunga Portugal kwa tofauti ya Bao 1 na USA kufungwa kwa tofauti hiyo
hiyo, USA watasonga kwa vile wana Rekodi bora ya uso kwa uso na Ghana.
Ghana pia wanaweza kufuzu ikiwa USA itaifunga Germany Bao nyingi.
Lakini Portugal wao wana kibarua kigumu
mno kwani kwanza lazima waifunge Ghana na kisha wapindue tofauti ya Bao 5
dhidi ya USA ikifungwa.
KUNDI H
Belgium wameshafuzu na wakipata Pointi 1 kwenye Mechi yao na South Korea itawahakikishia kumaliza Vinara wa Kundi hili.
Algeria watatinga Raundi ya Pili wakiifunga Russia lakini Sare pia ni poa ikiwa tu South Korea hawaifungi Belgium Bao nyingi.
Russia watafuzu ikiwa tu wataifunga Algeria na South Korea washindwe kuifunga Belgium.
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI
**Saa za Bongo
JUMATATU, JUNI 23, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
Australia 0 Spain 3 |
B |
Arena da Baixada |
1900 |
Netherlands 2 Chile 0 |
B |
Arena Corinthians |
2300 |
Croatia 1 Mexico 3 |
A |
Arena Pernambuco |
2300 |
Cameroon 1 Brazil 4 |
A |
Nacional |
JUMANNE, JUNI 24, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
Italy 0 Uruguay 1 |
D |
Estadio das Dunas |
1900 |
Costa Rica 0 England 0 |
D |
Estadio Mineirão |
2300 |
Japan 1 Colombia 4 |
C |
Arena Pantanal |
2300 |
Greece 2 Ivory Coast 1 |
C |
Estadio Castelão |
JUMATANO, JUNI 25, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
Nigeria v Argentina |
F |
Estadio Beira-Rio |
1900 |
Bosnia-Herzegovina v Iran |
F |
Arena Fonte Nova |
2300 |
Honduras v Switzerland |
E |
Arena Amazonia |
2300 |
Ecuador v France |
E |
Estadio do Maracanã |
ALHAMISI, JUNI 26, 2014 |
|||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
1900 |
United States v Germany |
G |
Arena Pernambuco |
1900 |
Portugal v Ghana |
G |
Nacional |
2300 |
South Korea v Belgium |
H |
Arena Corinthians |
2300 |
Algeria v Russia |
H |
Arena da Baixada |
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
49 |
Brazil v Chile |
Mineirão |
Belo Horizonte |
|
2300 |
50 |
Colombia v Uruguay |
Maracanã |
Rio de Janeiro |
|
JUMAPILI, JUNI 29, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
51 |
Netherlands v Mexico |
Castelao |
Fortaleza |
|
2300 |
52 |
Costa Rica v Greece |
Pernambuco |
Recife |
|
JUMATATU, JUNI 30, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
53 |
1E v 2F |
Nacional |
Brasilia |
|
2300 |
54 |
1G v 2H |
Beira-Rio |
Porto Alegre |
|
JUMANNE, JULAI 1, 2014 |
|||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|
1900 |
55 |
1F v 2E |
Corinthians |
Sao Paulo |
|
2300 |
56 |
1H v 2G |
Fonte Nova |
Salvador |
|
0 comments:
Post a Comment