HOME »
» COLOMBIA YAITOA URUGUAY KWA 2-0, KUKUTANA NA BRAZIL ROBO FAINALI
 |
James
Rodriguez amefunga mabao yote mawili katika ushindi wa 2-0 wa Colombia
dhidi ya Uruguay mchezo wa 16 Bora Kombe la Dunia. Colombia sasa
itakutana na wenyeji Brazil katika Robo Fainali ya michuano hiyo. |
0 comments:
Post a Comment