KOCHA
wa Brazil Luiz Felipe Scolari amesema Timu yake imebakisha Gemu 3
kufika ’Peponi’ baada Jana kuibwaga Chile kwa Mikwaju ya Penati 3-2
baada ya Sare ya Bao 1-1 katika Dakika 120 za Mchezo za Mechi ya Raundi
ya Pili ya Kombe la Dunia.
Kwenye Robo Fainali, Brazil watacheza na Colombia ambao Jana waliwafunga Uruguay 2-0.
Scolari amesema: “Tuliazimia wenyewe
kwenye dhima hii tuwe Mabingwa. Ukiweka ahadi ni lazima uitimize. Hili
ndio Wachezaji wanafanya!”
Aliongeza: “Bado zipo Gemu 3 zaidi na tutaona kama tutafika peponi!”
Kabla ya Mechi na Chile, Scolari alikiri kucheza na Chile ni ‘maumivu’ na pia kubaini Wachezaji wake kidogo wana mchecheto.
Scolari, ambae aliiongoza Brazil kutwaa
Kombe la Dunia Mwaka 2002, alisema: “Kila Mechi inazidi kuwa ngumu na
ugumu unaongezeka! Kombe la Dunia limeonyesha Timu zinalingana. Kama
hutumii nafasi moja au mbili unazopata, kama tulivyofanya Leo, basi
unaweza kuadhirika na kutolewa.”
KOMBE LA DUNIA
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
**Saa za Bongo
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
49 |
Brazil 1 Chile 1, Penati 3-2 |
Mineirão |
Belo Horizonte |
|||||
2300 |
50 |
Colombia 2 Uruguay 0 |
Maracanã |
Rio de Janeiro |
|||||
JUMAPILI, JUNI 29, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
51 |
Netherlands v Mexico |
Castelao |
Fortaleza |
|||||
2300 |
52 |
Costa Rica v Greece |
Pernambuco |
Recife |
|||||
JUMATATU, JUNI 30, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
53 |
France v Nigeria |
Nacional |
Brasilia |
|||||
2300 |
54 |
Germany v Algeria |
Beira-Rio |
Porto Alegre |
|||||
JUMANNE, JULAI 1, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
55 |
Argentina v Switzerland |
Corinthians |
Sao Paulo |
|||||
2300 |
56 |
Belgium v USA |
Fonte Nova |
Salvador |
|||||
ROBO FAINALI IJUMAA, JULAI 4, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
1900 |
Mshindi 53 v Mshindi 54 [57] |
ROBO FAINALI |
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro |
|
|||||
2300 |
Brazil v Colombia [58] |
ROBO FAINALI |
Estadio Castelão, Fortaleza |
|
|||||
JUMAMOSI, JULAI 5, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
1900 |
Mshindi 55 v Mshindi 56 [59] |
ROBO FAINALI |
Nacional, Brasilia |
|
|||||
2300 |
Mshindi 51 v Mshindi 52 [60] |
ROBO FAINALI |
Arena Fonte Nova, Savador |
|
|||||
NUSU FAINALI JUMANNE, JULAI 8, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2300 |
Mshindi 57 v Mshindi 58 [61] |
NUSU FAINALI |
Estadio Mineirão, Belo Horizonte |
|
|||||
JUMATANO, JULAI 9, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2300 |
Mshindi 59 Mshindi 60 [62] |
NUSU FAINALI |
Arena Corinthians, Sao Paulo |
|
|||||
MSHINDI WA TATU JUMAMOSI, JULAI 12, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2300 |
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62 |
MSHINDI WA 3 |
Nacional, Brasilia |
|
|||||
FAINALI JUMAPILI, JULAI 13, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2200 |
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62 |
FAINALI |
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro |
0 comments:
Post a Comment