Thursday, 26 June 2014

KOMBE LA DUNIA: HETITRIKI YA SHAQIRI YAIPELEKA USWISI RAUNDI YA PILI!

USWISI, FRANCE ZAFUZU KUNDI E, ECUADOR, HONDURAS NJE!!
FRANCE 0 ECUADOR 0
ECUADROR-VALENCIA-RAFUFrance na Ecuador walitoka Sare 0-0 katika Mechi ya mwisho ya Kundi E la Fainali za Kombe la Dunia na France kusonga mbele wakiwa Washindi wa Kundi huku Ecuador wakitupwa nje baada ya Switzerland kuifunga Honduras Bao 3-0 kwenye Mechi nyingine ya Kundi hili.
France walipata nafasi safi za kufunga na kukosa kupitia Antoine Griezmann, Paul Pogba, Karim Benzema na Loic Remy.
Ecuador walimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Mchezaji wa Manchester United Antonio Valencia, ambae ni Nahodha wa Ecuador, kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu katika Kipindi cha Pili kwa rafu mbaya kwa Lucas Digne.
Kwenye Raundi ya Pili, France wataivaa Nigeria.
VIKOSI:
FRANCE: 1-Hugo Lloris; 15-Bacary Sagna, 21-Laurent Koscielny, 5-Mamadou Sakho, 17-Lucas Digne; 14-Blaise Matuidi, 19-Paul Pogba, 22-Morgan Schneiderlin, 18-Moussa Sissoko; 10-Karim Benzema, 11-Antoine Griezmann 
ECUADOR: 22-Alexander Dominguez; 4-Juan Carlos Paredes, 2-Jorge Guagua, 3-Frickson Erazo, 10-Walter Ayovi; 16-Antonio Valencia, 14-Oswaldo Minda, 6-Cristian Noboa, 7-Jefferson Montero, 15-Michael Arroyo; 13-Enner Valencia
Refa: Noumandiez Doue [Côte d'Ivoire]
KUNDI E
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
France
3
2
1
0
8
2
6
7
Switzerland
3
2
0
1
7
6
1
6
Ecuador
3
1
0
2
3
3
0
3
Honduras
3
0
0
3
1
8
-7
0
SWITZERLAND 0 HONDURAS 3
Hetitriki ya Mchezaji wa Bayern Munich Xherdan Shaqiri imewapa Switzerland ushindi wa Bao 3-0 dhidi ya Honduras na kufuzu kutoka Kundi E na kuipiku Ecuador.
Switzerland sasa watacheza na Argentina kwenye Raundi ya Pili ya Mtoano.
Honduras wamemaliza Mechi zao za Kundi E wakiwa mkiani baada ya kufungwa Mechi zao zote 3.
VIKOSI:
SWITZERLAND: Benaglio, Lichtsteiner, Inler (c), Xhaka, Behrami, Rodriguez, Mehmedi, Drmic, Djourou, Schär, Shaqir
Akiba: Sommer, Bürki, Ziegler, Senderos, Lang, Barnetta, Seferovic, Stocker, Dzemaili, Fernandes, Gavranovic, Von Bergen
HONDURAS: Valladares (c), Figueroa, Bernardez, J Garcia, W Palacios, Bengtson, Costly, Boniek Garcia, Espinoza, Claros, Beckeles
Akiba: López, Escober, Montes, Izaguirre, J Palacios, M Martinez, Delgado, R Martinez, Najar, Garrido, Chavez
Refa: Nestor Pitana [Argentina]
KOMBE LA DUNIA
RATIBA/MATOKEO:
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI
**Saa za Bongo
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia 0 Spain 3
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands 2 Chile 0
B
Arena Corinthians
2300
Croatia 1 Mexico 3
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon 1 Brazil 4
A
Nacional
JUMANNE, JUNI 24, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Italy 0 Uruguay 1
D
Estadio das Dunas
1900
Costa Rica 0 England 0
D
Estadio Mineirão
2300
Japan 1 Colombia 4
C
Arena Pantanal
2300
Greece 2 Ivory Coast 1
C
Estadio Castelão
JUMATANO, JUNI 25, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Nigeria 2 Argentina 3
F
Estadio Beira-Rio
1900
Bosnia-Herzegovina 3 Iran 1
F
Arena Fonte Nova
2300
Honduras 0 Switzerland 3
E
Arena Amazonia
2300
Ecuador 0 France 0
E
Estadio do Maracanã
ALHAMISI, JUNI 26, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
United States v Germany
G
Arena Pernambuco
1900
Portugal v Ghana
G
Nacional
2300
South Korea v Belgium
H
Arena Corinthians
2300
Algeria v Russia
H
Arena da Baixada
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
49
Brazil v Chile
Mineirão
Belo Horizonte
2300
50
Colombia v Uruguay
Maracanã
Rio de Janeiro
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
51
Netherlands v Mexico
Castelao
Fortaleza
2300
52
Costa Rica v Greece
Pernambuco
Recife
JUMATATU, JUNI 30, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
53
France v Nigeria
Nacional
Brasilia
2300
54
1G v 2H
Beira-Rio
Porto Alegre
JUMANNE, JULAI 1, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
55
Argentina v Switzerland
Corinthians
Sao Paulo
2300
56
1H v 2G
Fonte Nova
Salvador
 

0 comments: