Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wazee kutoka kata
ya Simbo wilayani Uvinza, ofsini kwake mjini Dodoma Juni 28, 2014. Kulia
ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulila (kulia) na wa sita kushoto
ni Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wazee kutoka kata ya Nsimbo katika
jimbo la Kigoma Kusini baada ya kuzungumza nao ofisini kwake bungeni
mjini Dodoma Juni 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wazee kutoka kijiji cha Kwaraa,
Babati wakiwa na Mbunge wao wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (watatu
kushoto) ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Juni 28, 2014. (Picha na
Ofisiya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment