Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa IPP, Dkt. Reginald
Mengi (aliayevaa Suti) akiwasili katika Ufunguzi wa Semina ya Mafunzo
kwa Wanawake Wajasiliamali, Mbele ya Msafara ni Mama Maria Nyerere na
Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa. Semina kwa Wajasiliamali imeandaliwa
na Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF), Mafunzo ni ya muda wa siku tatu
kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa2 asubuhi katika ukumbi wa Bwalo
la Maafisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani jijini Dares Salaam
Mwenyekiti
wa EOTF Mama Anna Mkapa, akitoa utangulizi wa Mafunzo na ntambulisho wa
Waalikwa, wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wanawake
Wajasiliamali, kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa2 asubuhi katika
ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani
jijini Dares Salaam
Mkurugenzi Mtendaji
wa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote(EOTF), Ndugu, Stephen Emmanuel
akimkaribisha Mwenyekiti wa EOTF, Mama Anna Mkapa (hayuko pichani) leo,
tarehe 23/06/2014 wakati wa Ufunguzi wa Semina kwa Wanawake
Wajasiliamali kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Mafunzo
hayo yanalenga kumsaidia Mwanamke kukabiliana na changamoto za
Ujasiliamali
Wanawake kutoka Mikoa Mbalimbali ya Tanzania
Bara na Zanzibar wakiwa katika Ufunguzi wa Semina ya Mafunzo ya
Wajasilaimali, Mafunzo ni ya muda wa siku tatu kuanzia Juni 23-25/2014,
kuanzia saa2 asubuhi katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT) Mgulani jijini Dares Salaam
Mama Maria Nyerere akitoa nasaa wakati wa
Ufunguzi wa Semina kwa Wanawake Wajasiliamali kutoka Mikoa yote ya
Tanzania, akiwa ni Mwanamke Mjasiliamali pia, amewahakikishia wanawake
mafanikio iwapo watajiamini na kumsirikisha Mungu katika kazi zao.
Picha na Maelezo
0 comments:
Post a Comment