WACHEZAJI tisa wa Italia walilazimika kukaa situ za daraja la pili, baada ya kuambiwa ndege ni ndogo wakielekea Brazil kwenye Kombe la Dunia.
The Azzurri imewasili leo mjini Riona kuelekea katika kambi yao mjini Mangaratiba, umbali wa maili 75 kusini mwa mji huo.
Lakini
karibu nusu ya wachezaji wao waliambiwa hakuna nafasi katika daraja la
kwanza kwenye ndege ya Alitalia maarufu na wakatumia saa 12 angani
wakiwa wameketi kwenye siti 'za kawaida'.
0 comments:
Post a Comment