Kiwanja
kinauzwa, kiko Bagamoyo Ukuni jirani na standi kuu ya mabasi yaendayo
mikoani, kina square meter 2,400, kinafaa kwa ujenzi wa shule, hoteli na
aina nyingine ya uwekezaji. Kina hati, bei ni maelewano.
Saturday, 18 January 2014
HOME »
» WANAOTAKA KUNUNUA KIWANJA ,BASI KIWANJA KINAUZWA BAGAMOYO KWA BEINAFUU
0 comments:
Post a Comment