Hili ni gari la JWTZ lililobeba mwili wa waziri Dr Wiliam Mgimwa kutoka uwanja wa Ndege Nduli hadi kijiji cha Magunga nyumbani alikozaliwa |
Ndege aliyotumia rais Dr Jakaya Kikwete ikitua uwanja wa ndege nduli Iringa |
Msafara wa waziri mkuu Mizengo Pinda ukiwasili uwanja waNdege Nduli Iringa |
Mafundi wa mahema wakiendelea na ujenzi wa mahema hayo |
Mafundi ujenzi wakijenga kaburi la Dr Mgimwa ambalo linadaiwa kutumia kiasi cha Tsh milioni 3 |
Barabara iliyetengenezwa kwa ajili ya ugeni wa kitaifa japo eneo hilo la barabara ya Masumbo - Kiponzero lilikuwa korofi siku nyingi |
0 comments:
Post a Comment