![]() |
Msukuma mkokoteni mhindi akitafuta kazi ya kubeba mizigo katika mji wa Dubai kama alivyonaswa na mwandishi wa mtandao huu Baraka Luhoga aliyepiga kambi kwa muda nchini Dubai |
![]() |
Hapa wahindi wenzake wakimtazama mwenzao ambae anafanya kazi ya kusukuma mikokoteni |
![]() |
Hapa akitazama pembeni kama kuna mtu anahitaji mkokoteni huo |
0 comments:
Post a Comment