Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete
akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha
na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga
jimbo la Kalenga, Iringa, jana Desemba 6, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada
la maua wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa
Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga,
Iringa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima
baada ya kuweka shada la maua wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa
Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake
Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa
Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa
Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama mzazi wa Marehemu wakati wa
mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa
kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.
Mama
Salma Kikwete akimfariji Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu
wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga
William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mjane wa Marehemu wakati wa mazishi
ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa
kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwapa mkono wa pole wananchi wa Kalenga
wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga
William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwapa mkono wa pole machifu wakati wa
mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa
kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa. (PICHA NA IKULU).
0 comments:
Post a Comment