Klabu ya Azam FC asubuhi ya leo March 9 imesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu yaBidvest Wits ya Afrika Kusini, utakaochezwa weekend hii na wiki mbili baadae kurudiana uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
Wednesday, 9 March 2016
HOME »
» Angalia Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti
0 comments:
Post a Comment