Sunday, 20 March 2016

Umaarufu muda mwingine ni shida C. Ronaldo Ashindwa kunywa chai hotelini kisa kupiga picha angalia hapa


Cristiano Ronaldo ni staa wa soka duniani…. uzito wa jina lake umewafikia hata wasio mashabiki wakubwa wa soka, tazama hii video hapa chini jinsi alivyokwenda kunywa chai kwenye Mgahawa wa kibiashara, mashabiki wakashtukia kwamba tuko kwenye breakfast na Ronaldo… itakuaje? tazama hii video hapa chini…

0 comments: