Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Samia Hassan Suluhu amepiga kura viwasini Zanzibar katika uchaguzi wa marudio unaofanyika leo.
Bi Samia amrwapongeza wananncji wa Visiwa vya Zanzibar kwa kukitokeza kwa wingi kupiga kura kuwachagua viongozi wao.
Amewataka Wanzanzibar kuwa watulivu mpaka zoezi hili litakapokamilika na Matokeo kutangazwa.
0 comments:
Post a Comment