Saturday, 18 January 2014

NAFASI ZA KAZI KUTOKA NEEMA HERBALIST NI MASOKO NA UUZAJI

Neema  Herbalist  ni  wauzaji  na  wasambazaji  wa  dawa  mbalimbali  zitokanazo na  mimea.

Tunatangaza  nafasi  za  kazi  ya  UWAKALA WA  USAMBAZAJI   WA  DAWA  ZETU  kwa  vijana  wa  Kitanzania  wenye  sifa  zifuatazo :

i.                Elimu  ya  kuanzia  kidato cha  nne  na  kuendelea.
ii.               Awe  mkaazi  wa  Dar  es  Salaam.
iii.              Awe  maridadi, mwaminifu na  anayejituma.

MAJUKUMU  YA  KAZI :  Kuchukua  bidhaa  kutoka  kwetu  na  kuzisambaza   kwa  wakala  wetu  mkuu  na  kwenye  maduka ya   madawa  yaliyopo  katika  kata  mbalimbali  za  jiji  la Dar  es  Salaam.

Mwisho  wa  kupokea  maombi  ni  tarehe   31 JANUARI  2014.

Kazi  kuanza  rasmi  tarehe  03  FEBRUARI  2014.

Tuma  maombi  yako  kupitia  barua  pepe  yetu ambayo  ni :  neemaherbalist@gmail.com

Kwa  maelezo  zaidi, tembelea : www.neemaherbalist.blogspot.com

Related Posts:

0 comments: