Saturday, 18 January 2014

LIGI KUU ENGLAND: SUNDERLAND YAJITUTUMUA TOKA NYUMA 2-0, SARE 2-2!

RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]BPL2013LOGO
Jumamosi Januari 18
Sunderland 2 Southampton 2
1800 Arsenal v Fulham
1800 Crystal Palace v Stoke
1800 Man City v Cardiff
1800 Norwich v Hull
1800 West Ham v Newcastle
2030 Liverpool v Aston Villa

SUNDERLAND SOUTHAMPTON
Stadium of Light leo ilishuhudia Timu yao Sunderland ikitoka nyuma Bao 2-0 na kupata Sare ya Bao 2-2 ambayo bado imewabakisha kwenye Timu tatu za mkiani.
Southamton walitangulia kufunga kwa Shuti la Mita 20 la Jay Rodriguez na Dejan Lovren kuongeza Bao la Pili baada ya Kona.
Fabio Borini aliipatia Sunderland Bao la Kwanza kabla Mapumziko na Adam Johnson kusawazisha kwa Shuti kali katika Kipindi cha Pili.
+++++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Sunderland 2
-Borini 32
-Johnson 71
Southampton 2
-Rodriguez 4
-Lovren 31′
+++++++++++++++++++++++++
Nahodha wa Sunderland Lee Cattermole, ambae ameshapata Kadi Nyekundu 7 kwenye Ligi Kuu England ikiwa ni Kadi moja tu toka wale wanaoshikilia Kadi nyingi kwenye Ligi hiyo kina Patrick Vieira, Duncan Ferguson na Richard Dunne, alipewa Kadi ya Njano mapema na ili kumnusuru baala alipumzishwa katika Dakika ya 62 na Nafasi yake kuchukuliwa na Craig Gardner.
VIKOSI:
Sunderland: Mannone, Bardsley, Alonso, Ki, Brown, O'Shea, Cattermole, Larsson, Johnson, Borini, Altidore
Akiba: Gardner, Fletcher, Celustka, Pickford, Colback, Giaccherini, Roberge.
Southampton: Boruc, Chambers, Fonte, Lovren, Shaw, Cork, Schneiderlin, S. Davis, Lallana , Rodriguez, Lambert
Akiba: K. Davis, Clyne, Yoshida, Ramirez, Ward-Prowse, Guly, Hooiveld.
REFA:
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumapili Januari 19
1630 Swansea v Tottenham
1900 Chelsea v Man United
Jumatatu Januari 20
2300 West Brom v Everton
Jumanne Januari 28
2245 Man Utd v Cardiff
2245 Norwich v Newcastle
2245 Southampton v Arsenal
2245 Swansea v Fulham
2300 Crystal Palace v Hull
2300 Liverpool v Everton
Jumatano Januari 29
2245 Aston Villa v West Brom
2245 Chelsea v West Ham
2245 Sunderland v Stoke
2245 Tottenham v Man City
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
21
22
48
2
Man City
21
36
47
3
Chelsea
21
21
46
4
Liverpool
21
25
42
5
Everton
21
15
41
6
Tottenham
21
1
40
7
Man United
21
11
37
8
Newcastle
21
2
33
9
Southampton
22
4
31
10
Hull
21
-5
23
11
Aston Villa
21
-7
23
12
Stoke
21
-13
22
13
Swansea
21
-4
21
14
West Brom
21
-5
21
15
Norwich
21
-18
20
16
Fulham
21
-24
19
17
West Ham
21
-10
18
18
Sunderland
22
-15
18
19
Cardiff
21
-18
18
20
Crystal Palace
21
-18
17

Related Posts:

0 comments: