Monday, 15 December 2014

MWAMBUSI AMTOLEA MACHO HAMISI KIIZA BAADA YA KUTEMWA NA YANGA


Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi ameonekana akipiga stori na Hamisi Kiiza wa Yanga.

Mwambusi alifanya hivyo wakati Yanga na Simba wakipambana kwenye Nani Mtani Jembe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Mazungumzo yao yalionyesha yakisisitiza jambo huku Kiiza ambaye ametemwa Yanga kumpisha Mliberia, Kpah Sherman akielezea kitu fulani kwa muda mrefu.

Alipoulizwa Mwambusi kama ilikuwa ni sehemu ya kumshawishi Mganda huyo kutua Mbeya City, yeye alisisitiza hakuwa yeye.


“Mimi! Sijazungumza na Kiiza labda umenifananisha,” alisema.
Lakini taarifa zilizopo  kutoka chanzo chetu cha habari kinasema mwambusi amemtoleo macho kiiza na inawezekana akatua mbeya city na hii nia taarif ya siri  lani mtandao huu umekupa kipande tu cha stori hii

0 comments: