Mkugenzi wa wise and mercy compani Clemence Busara Akiwa ofisini kwake |
Shirika la kazi duniani ILO na chama cha wafanyazi Tanzania TUCTA kwa kushirikiana na wise and mercy company ameandaa Semina kubwa ya mafunzo ya kuelimisha juu ya kujua msingi ya na sheria za kazi kwa mwajiri na majiriwa
Akizungumza na mtandao huu wa green media ofisini kwake Mkurungenzi wa wise and mercy company ambao ni ndiyo waratibu wa mafunzo haya Mh Clemence Busara amesema kuwa lengo kubwa la semina hii ni kumjengea uwezo mfanyakazi kueleawa misingi ya kazi kwa mwajiri na mwajiriwa ,kutambua wajibu wa mwajiri na mwajiriwa katika majukumu ya kila siku, kuwongeza ujuzi zaidi mfanyakazi kufanya kazi kwa Ufanisi na Ubunifu wa hali ya juu.na jinsi mwajiri anavyo weza kuboresha mazingira kwa wafanya kazi wake.
Mkugenzi wa wise and mercy compani Clemence Busara Akiongea na mwandishi wa Habari wa Green Media Group {Abdul Marwa Abdallah} |
Mh busara ameongaza kuwa ILO na TUCTCA wameona kuna umuhimu mkubwa wa kuandaa mafunzo haya kwa kuwa wanyakazi wengi hawatambui sheria za kazi zinazo walinda wakiwa kwenye ajirazao, wajiri kukiuka miko na sheria za kazi kwa wajiriwa, busara amesema kupitia mafunzo haya yanaweza kuondoa hali ilipo hivi sasa
Mkugenzi huyu amesema mafunzo haya yamewalenga Wajasiriamali Wadogo na wakubwa, wafakazi wa umma nawa mashrika binafsi ,wakurungenzi wa kampuni na tasisi mbalimbali, hivyo ametoa wito kwa watu wote kuhudhuria kwa kwa wingi kwa kuwa mafunzo hayo kwa kuwa semina hiyo ni bure
Mafunzo hayo yatafanyika nyanda ya juu kusini mkoa wa mbeya Siku ya Ijumaa 5/12/2014 katika ukumbi wa JM MOTEL, karibu na shule ya st merry kuanzia 10:00 kamili asubuhi na kingilio cha mafunzo haya ni bure kwa mtu yeyote Yule ,semina ya mafunzo hayo itahudhuliwa na wa wawakilishi wa sirika la kazi duiani (ILO) ,chama cha wafanya kazi Tanzania TUCTA , wawakilishi wa wizara ya kazi mkoa wa mbeya na wadau mbalimbali hapa nchini Tanzania.
clemence busara akiwa ofisini kwake |
Ikumbuke kwa semina hii ya mafunzo inaratibiwa na kusimamiwa na wise and mercy company kwa kuwezeshwa na ILO na TUCTA kushirikiana wizara ya kazi mkoa.
0 comments:
Post a Comment