Askari wa zima moto wakiwa eneo la tukioa baada ya jengo moja kuporomoka mjini Zanzibar jana asubuhi huko maeneo ya Shangani karibu na Kijiwe cha 'Jaws Corner', Jengo hilo lililokuwa wazi bila kukaliwa na watu kwa kipindi kirefu cha takriban miaka 10, halikusababisha kifo wala majeruhi katika ajali hiyo, na chanzo cha kuanguka kwake bado hakijaweza kujulikana kwa haraka.
Monday, 1 December 2014
HOME »
» JENGO LISILOKALIWA NA WATU LAPOROMOKA HUKO ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment