Sunday, 7 December 2014

TAMASHA LA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE LAFANA TCC CHANG’OMBE

 unnamedWaziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile mara baada ya kuwasili viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam ambapo linafanyika tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne mwishoni mwa wiki kuelekea maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
unnamed1Watumishi wa wizara ya Fedha na taasisi zake wakiwa kwenye maandamano ya tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne mwishoni mwa wiki kuelekea maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
unnamed3Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile akimkaribisha Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum kufungua tamasha siku nne (Disemba 6 hadi 7, 2014) la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne mwishoni mwa wiki kuelekea maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
unnamed4Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akifungua tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne mwishoni mwa wiki lililoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kuandaa mashindano ya fani ya sanaa za maonesho yanayofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.
unnamed5Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Doroth Mwanyika wakati wa ufunguzi wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.
unnamed6Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akimkabidhi cheti maalum cha ushiriki Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano Serikalini (GCU) Ingiahedi Mduma wakati wa ufunguzi wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.
unnamed7Afisa Uendeshaji PSPF Delphin Richard akikabidhiwa cheti maalum na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum cha ushiriki wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.unnamed8Wanakwaya kutoka Wizara ya Fedha wakiimba wakati wa mashindano ya sanaa za maonesho kwenye tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam linaloshirikisha watumishi wa wizara hiyo na taasisi zake.
unnamed9Kikundi ncha ngoma kutoka Wizara ya Fedha wakicheza wakati wa mashindano ya sanaa za maonesho kwenye tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.
unnamed10Kikundi cha shairi kutoka Wakala ya Huduma ya Manunuzi Serikalini (GPSA) wakiimba shairi wakati wa mashindano ya tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.
unnamed11Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwaaga watumishi mara baada ya kufungua tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.

TIMU YA KRIKET YA UGANDA YATUA NCHINI KWA UDHAMINI WA FAST JET

 unnamed1qWachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (juzi)kutokea Kampala, Uganda kwa ziara ya siku tano ya mchezo huo hapa nchini chini ya udhamini wa Kampuni ya ndege ya Fast Jet
unnamed2qWachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (juzi)kutokea Kampala, Uganda kwa ziara ya siku tano ya mchezo huo hapa nchini chini ya udhamini wa Kampuni ya ndege ya Fast Jet
unnamed3qBaadhi ya wachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakihokiwa na waandishi wa habari baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere unnamed5qWachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakijadiliana jambo muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kutokea Kampala, Uganda kwa ziara ya siku tano ya mchezo huo hapa nchini chini ya udhamini wa Kampuni ya ndege ya Fast Jet

0 comments: