Kiungo Mbrazil, Emerson de Oliviera Neves Roque akisaini Mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Yanga SC ya Dar es Salaam baada ya kufuzu majaribio ya siku tatu. Picha kwa hisani ya tovuti ya Yanga SC |
Monday, 1 December 2014
HOME »
» YANGA SC YAMSAJILI KIUNGO MBRAZIL BAADA YA SIKU TATU ZA MAJARIBIO
0 comments:
Post a Comment