Ajali ilyo wahi kutokea dereva akiwa amelewa akamsababisha ajali taarifa hii imetolwa na
Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya Allan Mwaigaga |
Madereva wa mkoani mbeya na Tanzania kwa ujumla wametakikiwa kuwa makini pindi wawapo barabarani hasa katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya chrismas na mwaka mpya na kutakwa kuepukana na vitendo vya ulevi.
Mwenyekiti wakamati ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya Allan Mwaigaga amesema kwani kumekuwa na vitendo vya ulevi uilivyokithiri kwa madereva hasa kwa wakati huu wa sikuku, amewata wananchi na madevea kuwa makini pindi wanapo endesha vyombo vya moto wakiwa wamelewa kwani inaweza kusabaisha ajiali ambazo sio za lazima
pia mwenyekiti huyo ameongeza kuwa ajali zinzepukika iwapo kama madreva watafuata sheria za barabarani n kuwamakini kazi yao ametolea mfano baadhi ya ajali zilizo wahi kutokea hapa mbeya nipomoja ile gari uliona picha ya kwanza hapo ambeyo iliua wtu watatu
0 comments:
Post a Comment