Erasto nyoni akipokea tuzo yake….
Francis Cheka akipokea tuzo ya bondia bora kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mecky Sadick
Francis Cheka akipokea tuzo ya bondia bora kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mecky Sadick
Rais wa TFF Jamal Malinzi akimkabidhi tuzo mchezaji bora wa mchezo wa gofu
Mshambuliaji wa Azam FC Kipre Tchetche akipokea tuzo ya mwanasoka bora wa kigeni..
Feisal Pinto pia alikuwepo…….
Watangazi Enock Bwigane ( TBC ) pamoja na Sauda Mwilima ( STAR TV )
Mkurugenzi wa Radio One Deo Rweyunga akimkabidhi mjumbe wa kamati ya utendaji ya RT bwana Tullo Chambo tuzo kwa niaba ya mwanariadha bora.
kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malizi , Mkurugenzi wa wizara ya michezo ndugu Leonard Thadeo pamoja na Mahmoud Zubeiry mmiliki wa blog ya Binzubeiry.
0 comments:
Post a Comment