katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest Mgaya alipokuwa kwenye semina ya mafunzo ya wafanyakazi mkoani mbeya |
Baadhi ya wafanyakazi na wajasilia mali walio hudhulia semina ya mafunzo ya sheria za kazi |
mratibu wa mpango wa sheria za kazi (ILO) Miradi Marwa Phanuel akiongea na waandishi wa habari mara baada ya semina kumaliza |
Mkurugenzi ILO wa afrika mashariki mh Alexio Musindo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya semina kumaliza |
Baadhi ya wanasemina akipata picha ya pamoja baada ya kuisha kwa mafunzo |
katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest Mgaya akiwa na mkurugezi wa wise and mercy company mh clemence busara amaye ndio alikuwa mratibu wa mafunzo hayo |
Baadhi ya wajasilia mali walio hudhulia mafunzo wakiwa kwenye picha ya pamoja |
Baadhi ya wanasemina akipata picha ya pamoja baada ya kuisha kwa mafunzo |
Baadhi ya wafanyakazi na wajasilia mali wakiwa makina kusikiza mafunzo huku waandishi wa habari wanafanya yao |
serikali ndiyo mwajiri mkuu katika secta ya Umma hivyo serikali inalo jukumu la kuajiri watu wasiona ajira wenye taaluma zao pia inachua jukumu la kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ili secta binafsi zizalishe ajira ambayo vijana waweze kupata ajira nakuinua uchumi wanchi yetu kwa ujumla
Hayo yamesemwa katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest Mgaya alipokuwa mgeni rasm katika semina ya sheria za kazi kwa waajiri ,wajiri pamoja na wajasilia mali wakubwa na wadogo iliyofanyika katika ukumbi wa OTTU mkoani mbeya, semina ya mafunzo ya sheria za kazi yaliandaliwa na shirika la kazi dunia( ILO)kwa kushirikana chama cha wajiri Tanzania
(ATE)
katika semina ya mafunzo hayo mgaya alisema kuwa sela yetu ya Tanzania ni nzuri lakini haiendani na matendo hali ambayo husababisha ukosefu wa ajira na upungu wa wafanyakazi katika Manispaa, wilaya na mkoa kwa mfano maafisa ardhi, maafisa uchumi na maafisa biashara
Mgaya aliongeza serikali kubinafsisha viwanda na kuwapa fursa makampuni ya nje kuingiza bidhaa nchini inasababisha kukoseka kwa ajira kwa vijana na wakulima hali ambayo husababisha kuua soko la bidhaa ya nchi yetu
hivyo kukosakana kwa ajira Tanzania nimfumo na mipango mibovu iliyo jitengenezea serikali yenyewe,kwa misingi hii au mfumo huu nchi yetu hawezi kufika popote miaka nenda rudi labda sela na matendo viendane alisema mgaya
kwa upande wake mkurugenzi wa shirika la kazi duniani(ILO) afrika mashariki Alexio Musindo mesema kuwa serikali ina wajibu wa kutengeneza nafasi za ajira na kufanya wanyakazi wajua sheria za kazi wawapo kazi kwa kupitia vyama vyao vya kazi ili waweze kutambua haki zao na wajibu wao wawapo kazi ndio maana ILO inaanda semina ili kuelimisha wafanyakazi wa umma na mashilika ya binfsi kujui haki zao,kutambua haki zao itafanya kutokuwepo hali yaunyanyasaji unaofanywa na waajiri kwa wa wafanya kazi wao alisema bwana Musindo
Ikimbukwe kuwa semina hiyo ilihudhuliwa na watu mbalimbali ikiwemo chama cha waajiri Tanzania( ATE ),kilich wakilishwa na Peter Ngoi, shika la kazi dunia (ILO) ambalo,liliwakilshwa na mkurugenzi ILO wa afrika mashariki mh Alexio Musindo pamoja na mratibu wa mpango wa sheria za kazi (ILO) Miradi Marwa Phanuel
vyama vya wafanyakazi vilivyo wakilishwa na katibu mkuu
wa shikisho wavyama vya wafakazi (TUCTA) Mh Nicholas Ernest Mgaya kutoka serikini katika wizara ya kazi na
ajira tume yausuluhishi na uamuzi(CMA)ambayo ilwakilshwa na Naomi kimambo,
kampuny na taasisi
nazo siliwakilishwa na viongozi wao bila kusau wajasilia mali wakubwa na wadogo
walikuepo katika semina hiyo
katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest Mgaya akiongea wanasemina mkoani mbeya |
0 comments:
Post a Comment