Sunday, 19 January 2014

MSANII WA KENYA JAGUAR AJA TANZANIA KWA NDEGE BINAFSI ( AIR JAGUAR)


Unaambiwa msanii Jaguar kutoka Kenya alikuja Tanzania na ndege yake binafsi, icheki hapa.


jaguar3
Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi.

Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya “Kioo”.
Unaambiwa kutoka Kenya kuja Tanzania msanii huyu hakupanda ndege za kawaida bali alikuja na ndege yake binafsi ambayo imeandikwa Air Jaguar.
jaguar

jaguar2
jaguar4

Related Posts:

0 comments: