Monday, 7 July 2014

VIONGOZI WAPYA SIMBA SC WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA KLABU

Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kushoto akiwa na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji, walipotembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Uwanja wa klabu hiyo, eneo la Bunju, Dar es Salaam.

Related Posts:

0 comments: