Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na
Mwekiti wa Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifa wakati alipokwenda
kuwatembelea Watoto Mayatima wanaohudumiwa na Jumuiya hio Amani Mjini
Zanizbar.Katikati ni Katibu Mkuu wa Jumuiya Farouk Hamad.
Watoto
Mayatima wanaohudumiwa na Jumuiya ya MUZDALIFAT wakisoma kasda
kumkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif
Hamadi alipowatembelea Makao Makuu ya Jumuia Amani Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokea Zawadi
ya Mas-haf kwa mtoto Khunayna Said kwa niaba ya Wototo wenziwe Mayatima
wanao hudumiwa na Muzdalifat alipowatembelea Makao Makuu ya Jumuia Amani
Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akipokea Zawadi
kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya yaKiislam ya Muzdalifat Farouk
Hamadi alipowatembelea Makao Makuu ya Jumuia Amani Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kulia
akimkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifa Abdalla
Hadhar Bahasha yenye Sadaka kwa ajili ya Watoto yatima alipowatembelea
watoto hao Makao Makuu ya Jumuia Amani Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment