Sunday, 19 January 2014

MSANII WA BONGO MOVE BASUPA WA JUMBU LA THAHABU AVAMIWA ,KUPIGWA NA KUPORWA

 
IMG-20140119-WA0002 
Kwa mwaka 2014 inawezekana ikawa ni tukio la kwanza kumtokea msanii aliyekua mshiriki kwenye tamthilia ya jumba la Dhahabu msanii Basupa kuhusu kuvamiwa kupigwa na kuporwa baadhi ya vitu vyake.
Miongoni mwa vitu walivyochukua ni pamoja na simu zake ambapo taarifa inasema kuwa ilikua usiku maeneo ya Mwanayamala Komakoma alipokua anaenda kununua chips wakati anarudi kwenye gari yake ndipo alipovamiwa na vijana hao.
IMG-20140119-WA0003 
Mtandaoo huu  utaendelea kufatilia habari hizi ikiwa ni pamoja na kumsikiliza Basupa mwenyewe akielezea hili tukio.

Related Posts:

0 comments: