Saturday, 11 January 2014

MATOKEO BIG YA LA LIGA, ATLETICO MADRID, BARCELONA WATOA SARE (MOTOKEO YA LA LIGA HAPA)

>>LEO REAL  MADRID  KUWASOGELEA RCD Espanyol
DIEGO_COSTA
Atletico Madrid na Barcelona zimetoka Sare ya 0-0 Jana Usiku katika Mechi ya La Liga iliyochezwa Uwanja waVicente Calderon na wao kuendelea kufungana kileleni wakiwa Pointi sawa.
Lionel Messi na Neymar walianzia Benchi kwa upande wa Barca lakini hata walipoingizwa Kipindi cha Pili hawakuweza kuambua chichote.
Barca wanaendelea kuongoza La Liga wakiwa na ubora wa Magoli na kufuatia Atletico Madrid laqkini Real, wanaocheza leo na Espanyol wakishinda watazisogelea Timu hizo.

LA LIGA: MSIMAMO Timu za Juu:
NA TIMU P W D L F A GD PTS
1 FC Barcelona 19 16 1 1 53 12 41 50
2 Atletico Madrid 19 16 1 1 47 11 36 50
3 Real Madrid CF 18 14 2 2 52 21 31 44

Ijumaa Januari 10
Granada CF 4 Real Valladolid 0
Jumamosi Januari 11
Athletic de Bilbao 6 UD Almeria 1
Celta de Vigo 2 Valencia 1
Atletico de Madrid 0 FC Barcelona 0
Elche CF 1 Sevilla FC 1
Jumapili Januari 12
1400 Getafe CF v Rayo Vallecano
1900 Real Betis v Osasuna
2100 RCD Espanyol v Real Madrid CF
2300 Levante v Malaga CF
Jumatatu Januari 13
2400 Villarreal CF v Real Sociedad

Related Posts:

0 comments: