Tuesday, 21 January 2014

MANCHESTER CITY KUKIPIGA NA WEST HAM LEO.

Alvaro-Negredo-scores-004_cb44e.jpg
Timu ya Manchester City leo itapambana na timu ya West Ham United katika uwanja wa Upton Park kwenye mzunguko wa pili wa nusu fainali ya kombe la '' Capital One Cup''.
Edin-Dzeko-is-marshalled--006_ce84d.jpg
Manchester City ilishinda jumla ya magoli 6-0 katika mzunguko wa awamu ya kwanza ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani ''Etihad stadium''. 
Chanzo, theguardian.com.

Related Posts:

0 comments: