Kamati Kuu Yamteua Mahmoud Thabiti Kombo Kuwa Mgombea Wa Nafasi Ya Uwakilishi Jimbo La Kiembe Samaki
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari
kwenye ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Zanzibar ambapo
alitangaza uteuzi wa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Ndugu Mahmoud
Thabiti Kombo. baada ya kumalizika kwa kikao cha siku moja cha Kamati
Kuu ya CCM.
Ndugu
Mahmoud Thabiti Kombo mgombea wa uwakilishi jimbo la Kiembesamaki
aliyeteuliwa na Kamati Kuu iliyokutana mjini Zanzibar tarehe 13 Januari
2014.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akimpongeza Ndugu
Mahmoud Thabiti Kombo kwa kuteuliwa kuwa mgombea wa uwakilishi wa Jimbo
la Kiembesamaki, kushoto ni Waziri wa Afya Dk.Hussein Mwinyi.
0 comments:
Post a Comment