Saturday, 2 November 2013

WALIOFANYA VIRUGU KWENYE MECHI YA MBEYA CITY NA TZ PRISON WAKUMIWA MWAKA MMOJA AU FAINI




MAHAKAMA ya mwanzo, mjini Mbeya, imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au kulipa faini ya sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya city na Tanzania Prisons.  Habari kamili inakuja...
Na Mbeya yetu

0 comments: